Uhalisia wa Utabaka katika Tamthilia ya Janga la Werevu na Kitumbua Kimeingia Mchanga

dc.contributor.authorHAJI, Moh'd Idris
dc.date.accessioned2020-08-18T06:09:00Z
dc.date.available2020-08-18T06:09:00Z
dc.date.issued2018-01
dc.descriptionAvailable in print form, Tunguu Reference Libraryen_US
dc.description.abstractTamthiliya za Janga la Werevu na Kitumbua Kimeingia Mchanga zimepata umaarufu na kuwa tamthiliya nzuri na imara za mtunzi Khamis. Utafiti huu ulifanywa kwa nia kuu ya kuchunguza uhalisia wa utabaka katika tamthiliya mbili (Janga la Warevu na Kitumbua Kimeingia Mchanga). Malengo mahsusi ya ufafiti huu yalikuwa ni, kuchambua uhalisia wa utabaka katika kazi za Khamis, na Kuonesha athari inayoipata jamii kutokana na utabaka unaozungumzwa na Khamis. Ili kufanikisha utafiti huu Nadharia mbili zilitumika, Nadharia ya Umaks na Nadharia ya Uhalisia wa Kijamaa. Nadharia ya Umaks ilisaidia kufafanua aina za utabaka katika kazi za tamthiliya za Khamis, na nadharia ya Uhalisia wa Kijamaa nayo ilitumika kuchambua athari za utabaka katika jamii. Mbinu za kukusanya data zilizotumika katika utafiti huu ni maktaba. Data zilizokusanywa zimechambuliwa kwa kutolewa ufafanuzi wa kimaelezo na mjadala. Matokeo ya uchanganuzi wa data yaliweza kujibu maswali ya utafiti, kwani yalibainisha hali halisi ya Utabaka katika jamii. Mtokeo ya utafiti yanaonesha kwamba utabaka unaojitokeza zaidi katika tamthiliya za Janga la Werevu na Kitumbua Kimeingia Mchanga ni utabaka wa kiuchumi, kisiasa, kiitikadi na utabaka wa hali na hadhi. Athari zilizobainika ni kuibuka kwa migogoro katika jamii, umasikini, ufisadi, ukiukwaji wa haki katika jamii na utafutaji wa haki kwa nguvu ya umma.en_US
dc.description.sponsorshipSUZAen_US
dc.identifier.urihttp://repository.suza.ac.tz:8080/xmlui/handle/123456789/138
dc.language.isootheren_US
dc.publisherThe State University of Zanzibar (SUZA)en_US
dc.subject1. Utabaka kaika tamthilia - Janga la werevu na Kitumbua Kimeingia Mchanga 2. Athari za utabaka - Tamthiliaen_US
dc.titleUhalisia wa Utabaka katika Tamthilia ya Janga la Werevu na Kitumbua Kimeingia Mchangaen_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
MOH'D IDRISA HAJI final.pdf
Size:
557.7 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: