Dhima za Taharuki katika Riwaya za Kiswahili: Kisima cha Giningi ma Mzimu wa Watu wa Kale

dc.contributor.authorHASSAN HAMAD, AMINIA
dc.date.accessioned2020-08-17T08:51:11Z
dc.date.available2020-08-17T08:51:11Z
dc.date.issued2019-12-01
dc.descriptionUtafiti huu umechunguza dhima za taharuki katika riwaya ya Mzimu wa Watu wa Kale na Kisima cha Giningi zilizotungwa na Muhammed Said Abdulla. Utafiti huu umefanyika katika mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Data zake za msingi zimepatikana kwa njia ya maktaba, usaili kwa walimu na mahojiano kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Njia ya maktaba ilimuwezesha mtafiti kusoma riwaya zilizoteuliwa na kupata data za msingi ambazo zilitumika katika uchanganuzi. Data nyingine zilizopatikana kwa njia ya usaili na mahojiano zimetumika kutilia mkazo na kuzihakikisha data zilizopatikana kwa njia ya maktaba katika kufikiwa malengo ya utafiti. Malengo hayo ni kuainisha aina za taharuki, kufafanua mazingira ya utokeaji wake na kuelezea dhima zake. Matokeo ya utafiti yamebainisha aina za taharuki, mazingira yake na dhima zake, kwa kuongozwa na Nadharia ya Umuundo na Nadharia ya Uamilifu. Nadharia ya Umuundo imesaidia kuangalia aina za taharuki; taharuki msingi, taharuki ndogo na taharuki hamasishi na mazingira yake. Nadharia ya Uamilifu imetumika kuangalia dhima zake. Utafiti umeonesha kuwa ipo haja ya kuchunguzwa tena kipengele hiki cha taharuki katika tanzu nyingine za fasihi ya Kiswahili.en_US
dc.description.abstractUtafiti huu umechunguza dhima za taharuki katika riwaya ya Mzimu wa Watu wa Kale na Kisima cha Giningi zilizotungwa na Muhammed Said Abdulla. Utafiti huu umefanyika katika mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Data zake za msingi zimepatikana kwa njia ya maktaba, usaili kwa walimu na mahojiano kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Njia ya maktaba ilimuwezesha mtafiti kusoma riwaya zilizoteuliwa na kupata data za msingi ambazo zilitumika katika uchanganuzi. Data nyingine zilizopatikana kwa njia ya usaili na mahojiano zimetumika kutilia mkazo na kuzihakikisha data zilizopatikana kwa njia ya maktaba katika kufikiwa malengo ya utafiti. Malengo hayo ni kuainisha aina za taharuki, kufafanua mazingira ya utokeaji wake na kuelezea dhima zake. Matokeo ya utafiti yamebainisha aina za taharuki, mazingira yake na dhima zake, kwa kuongozwa na Nadharia ya Umuundo na Nadharia ya Uamilifu. Nadharia ya Umuundo imesaidia kuangalia aina za taharuki; taharuki msingi, taharuki ndogo na taharuki hamasishi na mazingira yake. Nadharia ya Uamilifu imetumika kuangalia dhima zake. Utafiti umeonesha kuwa ipo haja ya kuchunguzwa tena kipengele hiki cha taharuki katika tanzu nyingine za fasihi ya Kiswahili.en_US
dc.description.sponsorshipSUZAen_US
dc.identifier.urihttp://repository.suza.ac.tz:8080/xmlui/handle/123456789/131
dc.language.isootheren_US
dc.publisherSUZAen_US
dc.subjectDHIMA ZA TAHARUKI KATIKA RIWAYA ZA KISWAHILI: Kisima cha Giningi na Mzimu wa Watu wa Kaleen_US
dc.titleDhima za Taharuki katika Riwaya za Kiswahili: Kisima cha Giningi ma Mzimu wa Watu wa Kaleen_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
AMINIA HASSAN HAMAD.pdf
Size:
1.5 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
Utafiti huu umechunguza dhima za taharuki katika riwaya ya Mzimu wa Watu wa Kale na Kisima cha Giningi zilizotungwa na Muhammed Said Abdulla. Utafiti huu umefanyika katika mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Data zake za msingi zimepatikana kwa njia ya maktaba, usaili kwa walimu na mahojiano kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Njia ya maktaba ilimuwezesha mtafiti kusoma riwaya zilizoteuliwa na kupata data za msingi ambazo zilitumika katika uchanganuzi. Data nyingine zilizopatikana kwa njia ya usaili na mahojiano zimetumika kutilia mkazo na kuzihakikisha data zilizopatikana kwa njia ya maktaba katika kufikiwa malengo ya utafiti.
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: