DHIMA ZA TAHARUKI KATIKA RIWAYA ZA KISWAHILI:

dc.contributor.authorHAMAD, Aminia Hassan
dc.date.accessioned2024-04-18T08:15:10Z
dc.date.available2024-04-18T08:15:10Z
dc.date.issued2019-12-01
dc.descriptionUtafiti huu umechunguza dhima za taharuki katika riwaya ya Mzimu wa Watu wa Kale na Kisima cha Giningi zilizotungwa na Muhammed Said Abdulla.
dc.description.abstractUtafiti huu umechunguza dhima za taharuki katika riwaya ya Mzimu wa Watu wa Kale na Kisima cha Giningi zilizotungwa na Muhammed Said Abdulla. Utafiti huu umefanyika katika mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Data zake za msingi zimepatikana kwa njia ya maktaba, usaili kwa walimu na mahojiano kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Njia ya maktaba ilimuwezesha mtafiti kusoma riwaya zilizoteuliwa na kupata data za msingi ambazo zilitumika katika uchanganuzi. Data nyingine zilizopatikana kwa njia ya usaili na mahojiano zimetumika kutilia mkazo na kuzihakikisha data zilizopatikana kwa njia ya maktaba katika kufikiwa malengo ya utafiti. Malengo hayo ni kuainisha aina za taharuki, kufafanua mazingira ya utokeaji wake na kuelezea dhima zake. Matokeo ya utafiti yamebainisha aina za taharuki, mazingira yake na dhima zake, kwa kuongozwa na Nadharia ya Umuundo na Nadharia ya Uamilifu. Nadharia ya Umuundo imesaidia kuangalia aina za taharuki; taharuki msingi, taharuki ndogo na taharuki hamasishi na mazingira yake. Nadharia ya Uamilifu imetumika kuangalia dhima zake. Utafiti umeonesha kuwa ipo haja ya kuchunguzwa tena kipengele hiki cha taharuki katika tanzu nyingine za fasihi ya Kiswahili
dc.description.sponsorshipSUZA
dc.identifier.otherTHESIS
dc.identifier.urihttps://repository.suza.ac.tz/handle/123456789/245
dc.language.isoen
dc.publisherSUZA
dc.relation.ispartofseries2019
dc.titleDHIMA ZA TAHARUKI KATIKA RIWAYA ZA KISWAHILI:
dc.title.alternativeKisima cha Giningi na Mzimu wa Watu wa Kale
dc.typeThesis
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
DHIMA ZA TAHARUKI KATIKA RIWAYA ZA KISWAHILI: Kisima cha Giningi na Mzimu wa Watu wa Kale.pdf
Size:
1.5 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: